Ziko sababu nyingi zinazopelekea meno kubadilika rangi na kuwa ya njano mfano wa visababisho hivyo ni kama uvutaji wa sigara na kutosafisha meno wakati mrefu sana. Wapo watu wengi waliokata tamaa kwakuwa wametumia gharama nyingi katika kutafuta dawa za kuyafanya meno yao yawe meupe kama ilivyokuwa awali. Leo nimeona nitoe ujuzi wa kuyafanya meno ya njano kuwa meupe ndani ya wiki moja kwa kutumia Tunda la limao (lemon) na magadi soda (baking soda).. Nimetumia yapata wiki moja sasa nafurahia meno yangu kuwa meupe sasa nimeona nikushirikishe na wewe ili ufurahie kuwa na meno meupe mana meno ya njano yalishawahi kunifanya nisiwe comfort kuzungumza mbele za watu futa hatua hizi
HATUA 1:
- chukua nusu kijiko cha magadi soda weka katika kisahani. Magadi soda husaidia kuondoa ukoko uliogandia katika meno
- kamua limao katika kisahani chenye magadi soda

HATUA 2:
- Chukua mswaki wako na uchote mchanganyiko huo kisha uwe unapiga mswaki

ANGALIZO:
- kwa wiki unatakiwa kutumia mara mbili au mara tatu ila haina madhara yoyote naamini baada ya wiki na wewe utafurahia kama ninavyofurahia mimi kuwa na meno meupe
dah kwel hainambuli n njia mzur saaaaana
ReplyDeleteNimefanikiwa ndo mana nimeona nishare na wenzangu pia
DeleteYes inamatokeo mazuri
DeleteYes inamatokeo mazuri
DeleteDah kaka nimetumia naanza kuona mabadiliko thanks kaka
ReplyDeleteVizuri kwa matumizi mana meno hureta tabasamu nzuri kwenye umati wa watu
DeleteNaweza kupata wap magadi soda nipo dar es salaam
ReplyDeleteBaking powder ndo magadi soda yenyewe
DeleteHongera sana kwa huduma yenye matokeo chanya. Nimeipenda
ReplyDeleteDuh matokeo bado cjayapata aisee nawik saiv hamna kitu ushaur mwingne
ReplyDeletemagadi soda ni haya yanayotumika
ReplyDeletekwenye mandazi au mawazo yngu jamani.
Thanks bro hiyo baking poda zipo za aina mbili au moja tu
ReplyDeleteBaking soda sio poda
ReplyDeleteHayo unatengeneza kila siku au siku mija tuu
ReplyDeleteNiakweli jamani
ReplyDeleteLimao lililo iva ama
ReplyDeleteLimao zima au nusu?
ReplyDeleteNi Aina Gani ya limao? Lililoiva? Au
ReplyDeleteMimi nina shida ya meno incisors hazishikani siwezi kubite chakula vizuri
ReplyDeleteNitafanya aje
ReplyDeleteNgoja nianze manaa naona Kama unaweza kusaidia
ReplyDeleteMagadi ya kupikia mlenda Yanaweza kutumika?
ReplyDeleteUbarikiwe kipenz
ReplyDeleteLimao lakuiva au vp?
ReplyDeleteSamahan magad soda ni haya ya kupikia mandaz au
ReplyDeleteMjibu Sasa huko watubwanauliza limao lakuiva au vp
ReplyDeleteUnatengeneza kwa hizo siku tatu au mbili
ReplyDeleteHivi limao ndio ndimu yenyewe au tofauti???
ReplyDeleteNi lazima kuitumia kila wiki au ukishaitumia mara tatu kwa wiki 1 unaendelea kupiga mswaki kawaida
ReplyDeleteIv unatumia na dawa ya mxwaki ama
ReplyDeleteHaina madhara hiyo kitu kwa kinywa
ReplyDeleteHii inasaidia hata kwa meno ya watu wa kanda yakaskaziniii namaanisha arusha vs mosh
ReplyDeleteAsante yangu yamekua yanangaa' had nimependwa na warembo
ReplyDeleteJe wasukutulia na dawa ya mswak pua
ReplyDeleteJe ukitumia maganda ya ndizi ina baki na ndizi unatoa ile ndizi unabakiza ganda la ndizi lenyewe
ReplyDelete