Saturday, 29 October 2016

Jinsi ya kuongeza likes 500 katika facebook post zako

Habari zenu, najua watu wengi sana wanapenda kuwa na likes nyingi katika post zao wanazopost kupitia mitandao ya kijamii kama facebook,instagram n.k. Tumezoea mastaa na watu maarufu wengi ndio wanaoongoza kuwa na likes nyingi sana katika kila kitu wanachokipost katika kurasa zao za mitandao ya kijamii, Sasa kuna mbinu ambayo leo nawaelekeza ili muweze kuongeza likes nyingi zitakazochuana na hao mastaa au watu maarufu. Ni rahisi sana na natumia mtandao uitwao  autolike-us.com kuwaelekeza namna utakavyoweza kuongeza likes katika post zako za facebook. Moja kwa moja ungana na mimi katika steps chache kufanikisha hili
STEP 1:
Anzisha browser yako kisha login katika account yako ya facebook sehemu ya settings ingia katika public post>> who can follow me>> public yani weka public katika who can follow me













STEP 2:
fungua tab nyingine katika hiyo browser yako kisha fungua ukurasa wa autolike-us.com










kisha utaona sehemu kuna kitufe kimeandikwa click here to allow the permission to App





Baada ya hapo utaona ukurasa una vitufe viwili bonyeza kitufe chekundu ili kikupeleke kuruhusu ukurasa wako ukubali huduma ya HTC baada ya hapo utapata access token ya page yako














baada ya hapo ukishakubali kuaccess app ya htc ndipo utaenda kubonyeza kile kitufe cha kijani ili kupata access token ukibonyeza kitufe cha kijani utaona page ina access token yako utaicopy ni maandishi marefu sana utayokopi









 afu utaanza mwanzo wa hiyo website ambako chini kuna sehemu ya kuweka access token na kitufe cha kulogin ukisha iweka na ukalogin utaona post zako zote










Baada ya hapo utaweka access token kisha utalogin ili kuweza kuingia katika page yako ya facebook kupitia ukurasa wa autolike-us ambao utakuwa na uwezo kuaccess post zako tu

















hizi ndo post zangu katika ukurasa wangu wa facebook sasa unaweza kuona hii post yangu moja ina like 18















baada ya hapo inkiingia katika ukurasa wangu wa autolike-us katika posti hii nabonyeza kitufe kilichoandikwa submit kipo mbele ya post hiyo

Baada ya hapo utaona likes zimeongezeka ndani ya sekunde tano ukitaka kufikisha likes 500 submit mara nyingi mpaka unaweza kufikia likes 1000....KAMA UMEIPENDA MADA HII USISITE KUCOMMENT KATIKA BLOG YANGU

17 comments:

ad 1

Kuhusu

authorNapenda kutumia muda wangu mwingi kuwatatulia watu matatizo walionayo katika teknolojia na mambo mengine mengi.
Soma zaidi →



Matangazo

Tangaza nasi 0656 463 637