Watu wengi huwa wanaangaika sana kutafuta programu mbali mbali kudownload video youtube sasa basi ndo utakuwa mwisho wa mahangaiko kwani unaweza kudownload video youtube bila hizo programu.
Wengi wenu mmezoea kutumia youtube downloader au ummy download jamba ambalo ni headache tu, unachotakiwa ni kufata hatua chache ili kufanikisha swala hili
HATUA 1:
Inga youtube tafuta video unayootaka kuidownload kisha bofya video hiyo mfano mimi nataka kudownload wimbo wa diamond platnumz - salome
Unachotakiwa kufanya ni kubofya hiyo nyimbo na kuangalia link yake ya youtube
Baada ya hapo katika link yake ongeza s mbili yani ss.. mfano. www.youtube.com/xyz...
unaongeza ss mbili inakuwa www.ssyoutube.com/xyz..
Mwisho itakuleta katika ukurasa huu ndipo utabonyeza hapo katika 720.. ukibonyeza tu itakuletea sehemu udownload kisha itaanza kudownload yenyewe mpaka itakapoisha utaikuta katika my document sehemu ya video
KAMA UMEIPENDA MADA HII AU UNA MASWALI UNAWEZA KUCOMMENT PUNDE NTAKUJIBU....
Saturday, 29 October 2016
New
Jinsi ya kudownload video YOUTUBE bila kuwa na programu yoyote ya kudwonloadia
About Unknown
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design
Teknolojia
Labels:
Teknolojia
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
naombajinsiyakudownload video kila nikitafuta jinsi ya kudownload inashindikana
ReplyDelete